Thursday, October 27, 2016

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI WA KONGO AVUTIWA NA BOMBA LA MAFUTA TANGA

 Afisa Uhusiano Mamlaka ya Bandari Tanga, Moni Jarufu, akisalimiana na Waziri wa Nishati na Madini wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Aime Ngoi Mukena, wakati alipofanya ziara ya kuangalia mchakato wa Mradi wa Bomba la Mafuta Tanga, nyuma mwenye suti ni Kaimu Meneja wa Bandari Tanga, Hendry Arika.
 Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella (kushoto) akiwasikiliza kwa makini Waziri wa Nishati na Mdini wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Aime Ngoi Mukena na wakafanyakazi wa Bandari Tanga pamoja na Kampteni wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (katikati)
 Kapteni wa Mamlaka ya Bandari Tanzania akitoa ufafanuzi juu ya jambo kwa Waziri wa Nishati na Madini , Aime Ngoi Mukena na ujumbe wake wakati alipofanya ziara ya kuangalia ujenzi wa bomba la mafuta kijiji cha Chongoleani jana.

Kwa habari matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment