Vimbunga duniani

Umewahi
kusikia vimbunga vikiwa na majina ya kushangaza, mfano cha sasa
kinachoitwa Matthew ambayo kimekumba maeneo ya Haiti, Jamaica, Jamhuri
ya Dominika, Bahamas na baadhi ya majimbo ya Marekani.Lakini kinachokumbukwa sana ni kile kwa jina Katrina ambacho kiliathiri sana majimbo ya Louisiana, Mississippi na Alabama nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment