Muigizaji wa Nigeria aomba radhi kwa kukumbatiwa

Muigizaji mashuhuri, aliyepigwa marufuku katika sekta ya uigizaji ya Hausa kutokanana 'utovu wa nidhamu' ameomba radhi.Sadau ameomba radhi kwa aliowaudhi, lakini amesema 'hakufanya makosa'.
Filamu za Hausa ni maarufu sana kaskazini mwa Nigeria kuliko na idadi kubwa ya waislamu ambako ni mwiko kwa wanaume na wanawake kushikana mikono hadharani.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment