Tuesday, July 21, 2015

FURAHA YA IDD EL FITRI TANGA

 Wakazi wa Tanga na maeneo mengine ya jirani  wakisherehekea Sikukuu ya Idd El Fitri katika Beach ya Raskozone iliyoanza sherehe zake toka juzi.
Kwa kusherehekea Sikukuu hiyo watu mbalimbali mjini na vijijini wamekuwa wakijumuika katika maeneo mbalimbali ya viburudisho na kufurahi pamoja na ndugu na jamaa.
Mkoani Tanga watu wamekuwa wakimiminika hadi leo July 21 Beach ya Raskazone  na  watu kutoka maeneo mbalimbali na kwenda kuogelea  . 
Beach ya Raskazone inatajwa kuwa ya pili kwa ukubwa na mandhari nzuri ikiwemo na fukwe yake kuwa ya aina ya kipekee jambo ambalo limekuwa likiwavutia watu kutoka ndani na nje ya nchi.





No comments:

Post a Comment