Monday, July 27, 2015

RONALDO NA MESSI

Kama ulikuwa hufahamu huu ndio utofauti usio wa kawaida kati ya Messi na Ronaldo

lionel_messi_vs_cristiano_ronaldo
Upinzani kati ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kuhusu nani bora zaidi ya mwenzake huwa ni mgumu kutupatia majibu yaliosahii kwa maoni ya watu hususani ukihusisha mashabiki wa pande zote mbili. Hata zile tuzo zinazotolewa za mchezaji bora wa dunia (Ballon D’or) huwa hazitoshi kuwarizisha mashabiki wa upande mmoja kuwa kwa mwaka huu fulani ni bora zaidi ya mwenzie.
6057156223960338_20779271aa1c14ea9a0610f309660daf5c8c2c6a80e1f69f27ed706f81fe23ef_large
Sasa basi kuna kitu kinachoaminika sio cha kawaida kinafanana kwa kwa familia ya Messi na familia ya Ronaldo, Ronaldo kazaliwa February 5 1985 na Lionel Messi amezaliwa June 24 1987 ikiwa ni tofauti ya miaka miwili na miezi kadhaa tofauti hiyo ukiibadili kwa siku Ronaldo kamzidi Messi siku 869.
tumblr_nbsq17lud31rm96xko3_250
Messi ana mtoto anaitwa Thiago Messi na Cristiano Ronaldo ana mtoto anaitwa Cristiano Ronaldo Jr cha kushangaza hapa ni tofauti ya siku iliyopo kati ya Thiago na Ronaldo Jr, mtoto wa Ronaldo ni mkubwa kwa siku 869 ukilinganisha na Thiago Messi. Hii ni sawa kabisa na tofauti iliopo kati ya Messi na Ronaldo
87d47013aa807fe6f5b64d4fa951a5ae
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment