Wednesday, July 22, 2015

MTAA WAFANYWA DAMPO LA TAKATAKA, TANGA

 Mkazi wa Ngamini Tanga wakipita kandokando ya lundo za takataka zilizozagaa barabara ya 11Sokoni  mtaa wa Ngamiani kati  na kusababisha kero kwa wapita njia na wanaoishi  jirani na dampo hilo.
Imekuwa ada kwa baadhi ya maeneo kufanywa dampo la utupaji takataka jambo ambalo limekuwa kero kwa wakazi, wapita njia na hata mgeni wa eneo hilo au kutoka nje ya hapo.
Nipe maoni yako mtaa ulio je hali ni kama hii hapa katikatikati ya makazi ya watu?




No comments:

Post a Comment