Monday, July 20, 2015

WATU 27 WAUWAWA KWA BOMU UTURUKI

Milipuko ya mabomu kwenye headlines Uturuki..idadi ya waliopoteza maisha je?

turke
Uturuki imeingia kwenye headlines leo baada ya mji wa Suruc kushambuliwa na bomu na kuuwa watu 27 huku wengine 100 wakijeruhiwa vibaya.
Watu 27 wameuawa na wengine wapatao 100 kujeruhiwa vibaya katika shambulizi la bomu lililotokea muda mchache uliopita katika mji wa Suruc, Uturiki
utuuu
Maofisa wanaochunguza tukio hilo wamesema tukio hilo lilisababishwa na bomu la kujitoa mhanga.
Mji huo ambao unapakana na Syria, unahifadhi wakimbizi wengi wanaokimbia mapigano ya kivita nchini kwao. katika miezi ya hivi karibuni.
utu
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment