Tuesday, July 21, 2015

UJIO WA OBAMA KENYA SIO MCHEZO, CHEKI MADEGE YA AJABU HAYA

Siku tatu kabla ya Obama kutua haya yameendelea kushuhudiwa Nairobi leo…

11223860_10153280105891997_4335732967527542888_n-33250-600-600-70
Ijumaa July 24 2015 Kenya itashuhudia kutua kwa Rais Obama kwa mara ya kwanza tangu awe Rais wa Marekani… Wamarekani wanajali sana kuhusu Usalama wa Rais wao, tulisikia ishu ya kutua kwa wanausalama wa kutosha pamoja na magari ambayo yalianza kushushwa zaidi ya mwezi mmoja kabla ya siku ya Obama kutua.
CKbQG1YVEAANYzw-33246-600-600-70
Bado leo Viwanja vya Michezo vya Chuo Kikuu cha Kenya zimeshuhudiwa Helicopter kadhaa za wanausalama zikitua na kuruka kuzunguka anga la Nairobi… waliobebwa humo ni makomandoo ambao nao wameshushwa kuhakikisha hakiharibiki kitu kwenye ishu ya Usalama wa Rais wao.
20224_1029692910404326_9132702302512556604_n-33249-600-600-70
11541063_10153280104496997_1209040282678870086_n-33248-600-600-70
dcdc-33243-600-600-70
dds-33242-600-600-70
ddsddsd-33244-600-600-70
deded-33245-600-600-70

dedsds-33241-600-600-70

Fuatilia blog hii kila wakati, nitakujuza yanayoendelea kujiri nchini Kenya mwanzo mwisho

No comments:

Post a Comment