Friday, July 24, 2015

SPAIN YAONGEZA MIAKA UMRI WA KUOANA

Ndoa Uhispania sasa mpaka miaka 16

Uhispania imeongeza umri wa ndoa kutoka miaka 14 hadi 16 , ikiwa ni nchi iliyoidhinisha umri wa chini zaidi wa kuolewa barani Ulaya.
Kabla ya kupandishwa kwa miaka, wavulana na wasichana wangeweza kuolewa wakiwa na miaka 14kwa ruhusa ya hakimu.
Mabadiliko hayo yamekuja miezi kadhaa baada ya serikali kuongeza miaka ya idhini ya kuolewa kutoka miaka 13 hadi 16.
Serikali ilitangaza azma yake ya kufanya marekebisho ya sheria mwezi Aprili 2013, lakini mabadiliko hayo yameanza kutekelezwa leo Alhamisi
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment