Tuesday, July 21, 2015

RAHEEM STERLING AANZA KWA KUIFUNGIA TIMU YAKE MPYA

Man City Vs As Roma zilivyokipiga muda mfupi uliopita

hqdefault
Klabu ya Manchester City imeshuka dimbani leo hii kucheza mechi yake ya kwanza ya michuano ya International Champions Cup dhidi ya AS Roma ya Italia… Michuano hiyo inayoandaliwa na Audi inafanyika Australia katika Uwanja wa Melbourne Cricket Ground na kushirikisha jumla ya timu tatu za Real Madrid, AS Roma na Man City.
Generated by  IJG JPEG Library
Man City imeshinda mechi yake ya kwanza dhidi ya  AS Roma ya Italia  kwa mikwaju ya penati 5 kwa 4 baada ya mchezo kumalizika kwa sare ya goli 2-2… magoli yaliofungwa na Raheem Sterling dakika ya 3 na  Kelechi Iheanacho dakika ya 51 kwa upande wa Man City huku yale ya AS Roma yakifungwa na  Miralem Pjanic dakika ya 8 na Adem Ljajic 87.
Generated by  IJG JPEG Library
Huu pia ni mchezo wa kwanza kwa Raheem Sterling toka ajiunge na klabu ya Man City akitokea Liverpool kwa dau la pound milioni 49.
Generated by  IJG JPEG Library
Generated by  IJG JPEG Library
Generated by  IJG JPEG Library
Generated by  IJG JPEG Library
Generated by  IJG JPEG Library
Generated by  IJG JPEG Library
Generated by  IJG JPEG Library
Generated by  IJG JPEG Library
Raheem Sterling akishangilia goli alilofunga katika mchezo wake wa kwanza na Man City.

No comments:

Post a Comment