Ajali za kuchekesha… zinazotokea alafu unatamani kujua kama ni kweli na ilikuwaje?
Kuna
ajali nyingine kwenye hizi picha unaona kabisa hii inawezekana ilitokea
lakini kasoro ajali moja tu basi kugonga Pikipiki alafu basi ndio
likaumia wakati pikipiki kama haijaguswa.Nilikua natembelea mitandao mbalimbali leo nikakutana na hizi wanazoziita ajali zinazochekesha, ajali zenye maswali mengi…. ilikuaje mpaka dereva akapanda nalo juu ya bati? alielizamisha swimming pool je? huyu wa Lori hapa chini na yeye alitisha.. kabinua mzigo na gari zima.






Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:
Post a Comment