Sunday, July 26, 2015

GULIO LA TANGAMANO, TANGA

 Wazazi na walezi  Tanga wakiwanunulia watoto wao viatu  kujiandaa na shule ambazo baadhi  bado hazijafunguliwa Gulio la Tangamano jana.

Gulio la Tangamano limekuwa msaada kwa wakazi wa Tanga na maeneo ya jirani kwani kwa sasa limeonekana na kwamba ndio kituo kikuu cha bidhaa za rejareja na jumla.
Kwa mkazi wa Tanga mahitaji yake yote hukimbilia Tangamano kujinunulia vitu vya maofisini, majumani na hata vifaa vyengine vya Elektronic.



 Wakazi wa Tanga wakipita kandokando ya Ungo, miko na pawa  zilizotandazwa. Kazi nyingi za mikono zimekuwa zikikosa soko jambo ambalo limepelekea jamii kuthamini vifaa vya nje.

No comments:

Post a Comment