Wednesday, February 3, 2016

AFRICAN SPORTS YA TANGA WAWAFURAHISHA WASHABIKI WAKE

 Timu ya african Sports ya Tanga leo imewafurahisha washabiki wake baada ya kuikamia timu ya Mwadui ya Shinyanga kwa kuifunga bao 1 kwa bila.
Washabiki wakiishangilia kwa nguvu mwanzo mwisho na kuwapa hamasa wachezaji waliweza kupata bao la mapema kipindi cha kwanza.







No comments:

Post a Comment