Saturday, February 20, 2016

TMF YAWANOA WAANDISHI WA HABARI WA TANGA, KUOMBA RUZUKU



Afisa Ruzuku Vijijini kutoka  Tanzania Media Foundation  (TMF), Dastan Kamanzi, akizungumza na waandishi kutoka vyyombo mbalimbali vya  habari  Tanga namna ambavyo wanaweza kuomba ruzuku ili kuibua kero zinazowakabili wananchi vijijini.


  Waandishi wa habari wa Tanga, wakiwa katika mafunzo ya kuomba ruzuku kutoka Tanzania Media Foundation (TMF) yakiwa na lengo kuibua kero za wananchi vijijini.






No comments:

Post a Comment