Thursday, February 25, 2016

HATARI DARAJA LA BOMBO KUANGUKA

 DARAJA la Bombo njia ielekeayo Hospitali ya Rufaa ya Bombo na Raskozoni Tanga, likiwa limebomoka kufuatia mvua kumbwa iliyonyesha juma lililopita na kusababisha kitisho kwa wenye magari na vyombo vya moto na wapita kwa miguu ambayo mmommonyoko huo unazidi kuinyemelea barabara.





No comments:

Post a Comment