Saturday, February 13, 2016

AFRICAN SPOTRS YAIBAMIZA MGAMBO KWA BAO 1 MKWAKWANI, TANGA



 Mchezaji wa Mgambo JKT, Wilston Mlimi, akirejesha mpira langoni mwake huku akibanwa na mchezaji wa African Sports jana uwanja wa Mkwakwani.leo



 Mchezaji wa African Sports, Omari Issa akijaribu kumtoka mchezaji wa Mgambo jkt, Bakari Mtama wakati wa mchezo ligi kuu Tanzania Bara uwanja wa Mkwakwani Leo
 Washabikiwa wa African Spots wakiishangilia kwa nguvu timu yao jana wakati ikimenyana na Mgambo JKT uwanja wa Mkwakwani.


 Mchezaji Ali Nassour wa Mgambo JKT, akimtoka mchezaji wa African Spots uwanja wa Mkwakwani jana wakati walipomenyana ligi kuu Tanzania Bara.



 Washabiki wa timu ya African Sports wakisgangilia ushindi ushindi waliopata wa bao 1 dhidi ya Mgambo JKT
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment