Monday, February 8, 2016

WAKAZI KIJI CHA MANYATA HATARINI ,TANGA

 Wanawake jamii ya Kimasai (Wafugaji) wakinywesha maji mifugo yao kiji cha Manyata Tarafa ya Mombo Wilayani Korogwe kama walivyokutwa na Camera ya Tangakumekuchablog.
Jamii hii iko katika wakati mgumu baada ya maji hayo kutumia kwa matumizi mbalimbali yakiwemo ya kupikia chakula na kunywa huku pia wakitumia kwa kuogea.
Maji hayo ambayo hayaendi wala kuingia (Bwawa) baadhi ya nyakati hufanya wadudu aina ya Vyura na aina nyengine ya wadudu wachafu.
Jamii hiyo imekuwa ikiomba Serikali ya Wilaya na Kuu kuwachimbia kisima ili kuweza kuepukana na magonjwa ya miripuko na kipindupindu.









No comments:

Post a Comment