Wednesday, February 10, 2016

AJALI TABATA RELINI JIJINI DAR ES SALAAAM


Lori la Mizigo  limepiga mweleka na kuangukia basi la abiria aina ya Toyota  lifanyalo safari zake kati ya Gongo la Mboto, Ubungo.makutano ya barabara ya Tabara na Mandela, jijini Dar es salaam. Hakuna aliepoteza maisha kwenye ajali hiyo ila baadhi ya  watu kadhaa wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali kwa matibabu.





No comments:

Post a Comment