Tuesday, February 2, 2016

MSIMAMO LIGI KUU ENGLAND

Matokeo na msimamo wa Ligi Kuu Uingereza baada ya mechi za February 2

Usiku wa February 2 ilichezwa michezo kadhaa ya Ligi Kuu Uingereza, hii inatokana na weekend haikuchezwa na kulikuwa na michezo ya Kombe la FA, February 2 ilichezwa michezo nane ya Ligi. nikusogezee matokeo ya mechi zenyewe
Matokeo ya mechi za Ligi Kuu Uingereza February 2
  •  Arsenal 0 – 0 Southampton
  • Leicester City 2 – 0 Liverpool
  • Norwich City 0 – 3 Tottenham Hotspur
  • Sunderland 0 – 1 Manchester City
  • West Ham United 2 – 0 Aston Villa
  • Crystal Palace 1 – 2 AFC Bournemouth
  • Manchester United 3 – 0 Stoke City
  • West Bromwich Albion 1 – 1 Swansea City
Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza ulivyo sasa
ligi
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment