Friday, February 19, 2016

SIMBA AINGIA MITAANI , AZUSHA TAHARUKI

Chui na Tembo India, hii ndio idadi ya Simba wanaoripotiwa kuingia mtaani Kenya …

February 8 nchini India, Chui alitengeneza headline baada ya kuingia kwenye majengo ya shule na kujeruhi wanafunzi 6, siku tano mbele headline ziliendele India baada ya  Tembo kuingia mtaani na kufanya uharibifu wa mali za watu.
Leo February 19 2016 nchini Kenya  Maafisa wanyama pori wanawatafuta Simba 6 wanaripotiwa kutoroka kwenye hifadhi ya wanyama pori ya Nairobi National Pack na kuripotiwa kuelekea mji wa Langata nchini humo.simbaa
Maafisa hao wametoa namba za simu kwa wananchi watakazo weza kupiga bure kwa ajili ya kuwasaidia kama watawaona Simba hao . Leo asubuhi maafisa wanyama pori  wameingia kwenye makazi ya  mji wa Langata kwa ajili ya msako wa Simba hao.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment