Tuesday, February 9, 2016

MIJI 10 MIZURI DUNIANI

Pichaz za sehemu 10 nzuri na kuvutia kwa kufanya utalii duniani, Afrika zipo Zambia na Zimbabwe

Kama wewe ni mpenzi wa kutalii sehemu mbalimbali millardayo.com inakupa fursa ya kuzitazama sehemu 10 ambazo kama unapata time sio vibaya kuzitembelea ni nzuri na zinavutia duniani, bara la Afrika ziko mbili tu, yaani ni moja sema, ipo mpakani mwa Zambia na Zimbabwe. Cheki pichaz hapa
NAMBA 1
1. Bagan, Myanmar
NO 3
2. Li River, China
N0 2
3. Zhangye Danxia Landform Gansu, China
NO 6
4. Meteora, Ugiriki
NO 7
5. Salar de Uyuni 
NO 8
6. Kisiwa cha Santorini, Ugiriki
NO 9
7. Venice, Italia
NO 10
8. Victoria Falls, Zambia/Zimbabwe
NORWAY
9. Geiranger Fjord, Norway
VIEGT
10. Halong Bay, Vietnam
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablob

No comments:

Post a Comment