Friday, February 5, 2016

NI MAFURIKO

Mafuriko kila kona, magari yakipita kwa shida barabara ya Dodoma baada ya mvua kubwa kunyesha mfululizo na kusababisha maji kujaa hadi barabarani
Askari kikosi cha Usalama barabarani akiangalia mabasi yanavyoriski kupita katika barabara iliyojaa maji

No comments:

Post a Comment