Sunday, February 7, 2016

POLISI TANGA YANASABA BASTOLA YA KIENYEJI NA MIRUNGI KILO 200

  Kamanda wa polisi Tanga, Mihayo Msikhella, akiwaonyesha waandishi wa habari bastola iliyotengenezwa kienyeji wakati wa msako wa polisi ulioendeshwa siku tatu mfululizo.





  Kamanda wa polisi Mkoani Tanga, Mihayo Msikhella, akiwaonyesha waandishi wa habari hihadarati aina ya mirungi kilo 200 iliyokamatwa katika kizuizi cha polisi Mailimoja Korogwe ambayo ilikuwa imefichwa katika uvungu wa lori jana  usiku.

No comments:

Post a Comment