Tuesday, February 2, 2016

MKAKATI WA ELIMU TANZANIA





  Afisa Elimu  kutoka Baraza  la Mitihani Tanzania (NECTA), Christian Marandu, akizungumza na waandishi wa habari Tanga wakati wa kikao cha  maboresho ya muongozo inayotumika katika mafunzo ya kumuwezesha mwalimu na mwanafunzi. Mafunzo hayo  yanafanyika Tanga na kushirikisha wataalamu kutoka Wizara ya Elimu kutoka Mikoa  mbalimbali na kuandaliwa na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)



  Mkuu wa Idara ya Habari, Uhusiano na Mawasiliano, Sylivian Lupembe, akizungumz ana waandishi wa habari Tanga jana wakati wa kikao cha Maboresho ya Muongozo inayotumika katika mafunzo ya kumuwezesha mwalimu na mwanafunzi kwa  kushirikisha wataalamu kutoka Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) pamoja na wataalamu kutoka Mikoa mbalimbali Tanzania. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)


No comments:

Post a Comment