Friday, February 12, 2016

PICHA 7 MAJERUHI AJALI YA SIMBA MTOTO TANGA

 Nesi hospitali ya Teule Muheza Tanga, Florence Kimea akimpatia matibabu majeruhi wa basi la Simba Mtoto iliyotokea juzi kijiji cha Pangamlima Wilayani Muheza Mkoani Tanga juzi ambapo watu 11 walifariki papo hapo na wengine 29 kujeruhiwa.
 Wafanyakazi wa hospitali ya Teule Muheza Tanga pamoja na Manesi wakiwangalia majeruhi wa ajali ya Muheza iliyotokea juzi ya basi la Simba Mtoto na kuuwa watu 11 na wengine 29 kujeruhiwa .
 Nesi wa hospitali ya Teule Muheza Tanga, Rose Power akimtundika drip majeruhi wa basi la Simba Mtoto iliyogongana uso kwa uso na lori kijiji cha Pangamlima Muheza Tanga, Kibibi Kimea ambaye aliumiwa sehemu ya kichwa.



Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment