Thursday, February 25, 2016

TUNAJIANDAA KUMENYANA NA WALIMA MIWA

 KOCHA Mkuu  wa Coastal Union ya Tanga, akiwapa maelekezo wachezaji wake kujiandaa na mchezo kombe la Ligi (FA) uwanja wa Mkwakwani kesho na Mtibwa .


 Wachezaji wa Coastal Union ya Tanga, wakifanya mazoezi uwanja wa Mkwakwani Tanga leo kujiandaa na mchezo wa kombe la ligi (FA) kesh uwanja wa Mkwakwani kupepetana na Mtibwa Sugar.

Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment