Sunday, February 14, 2016

COASTAL UNION YAIBANJUA BAO 1 AZAM

 Kikosi cha Coastal union kilichoibanjua Azam FC LEO


Mchezaji wa Coastal Union., Miraji Adam, akiwa chini baada ya kulambwa chenga wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC uwanja wa Mkwakwani Tanga leo.


Mchezaji wa Azam, Said Miraji, akimdhibiti mchezaji wa Coastal Union wakati wa mchezo ligi kuu Tanzania Bara uwanja wa Mkwakwani leo
 Mchezaji wa Azam, Said Miraji, akimdhibiti mchezaji wa Coastal Union wakati wa mchezo ligi kuu Tanzania Bara uwanja wa Mkwakwani leo


  Mchezaji wa Coastal Union . Abdullahim Hamud, akimchomoka mchezaji wa Azam wakati wa mchezo ligi kuu Tanzania Bara uwanja wa Mkwakwani leo
Wachezaji wa Azam wakikwaruzana na refarii wa mchezo huo, Emmannuel Mwandemba kumlalamikia faulu alofanyiwa mchezaji wa Azam, Shomari Kapombe wakati wa mchezo ligi kuu Tanzania Bara uwanja wa Mkwakwani

No comments:

Post a Comment