Thursday, February 4, 2016

COASTAL YAIBUKA NA USHINDI MWEMBAMBA WA GOLI 1

 Wachezaji wa Coastal Union ya Tanga wakiomba Dua kabla ya mchezo wao  dhidi ya Ndanda FC  Mtwara leo na Coastal Unio kuibuka mshindi kwa kutoka kifua mbele kwa bao 1




 Mshambuliaji wa Ndanda FC ya Mtwara, Braison Raphael (kulia) akishangilia goli alilofunga wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara baina ya Coastal Union uwanja wa Mkwakwani Leo


  Wachezaji wa Ndanda FC kutoka Mtwara wakishangilia goli wakati wa mchezo na Coastal union wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uwanja wa Mkwakwani
leo
 Mchezaji wa Ndanda FC, Burhan Rashid akijaribu kumtoka beki wa Coastal Union wakati wa ligi kuu Tanzania Bara leo  walipokutana uwanja wa Mkwakwani.
 Wachezaji wa Ndanda FC, wakijaribu kuwatoka wachezaji wa Coastal Union wakati wa mchezo ligi kuu Tanzania Bara uwanja wa Mkwakwani.

Mchezaji wa Ndanda FC akiugulia maumivu wakati wa mtanange na Coastal Union ya Tanga leo

No comments:

Post a Comment