Thursday, February 11, 2016

PANTONI DAR HALMANURA KUZAMA

abiria wanusurika kuzama baharini baada ya Pantoni kuzima ghafla Dar

Asubuhi ya leo Pantoni kuzima ghafla Dar na kulazimika abiria wajitose baharini kuokoa maisha yao, hadi sasa haijafahamika kama kuna arhari iliyopatikana. Endelea kukaa karibu na millardayo.com ili zote zitakazonifikia iwe rahisi kukusogezea. Na hizi ni picha za mwanzo..!
3
.
IMG-20160211-WA0009
IMG-20160211-WA0012
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment