Saturday, February 20, 2016

MGAMBO JKT YASHINDWA KUTAMBA MKWAKWANI



Kiungo wa Prison, Jumanne Elifaeli (4) akigombea mpira na wacheza wa Mgambo JKT wakati zilipokutana jana uwanja wa Mkwakwani. Leo na kutoka kwa kufungana bao 1 , 1


  Kipa wa Prison Ben Kakoluya akidaka mpita ulioelekezwa langoni kwake  wakati wa mchezo na Mgambo JKT uwanja wa Mkwakwani uliochezwa leo na kufungana bao 1 ,1.
  Mshambuliaji wa Prison Salim Kumenya akigombea mpira na mchezaji wa Mgambo JKT, Ali Nasour leo  wakti zilipokutana uwanja wa Mkwakwani Tanga.
 Mcheza ji wa Mgambo JKT, Salim Mhina (24) akimtoka mchezaji wa Prison ya Mbeya Salim ,Kumenya wakati wa mchezo uwanja wa Mkwakwani leo .
 Mshambuliaji wa Prison alikuw shujaa kwa kusawazisha bao pekee la Prison na timu hizo kutoka suluhu kwa kufungana bao 1 ,1 leo Mkwakwani.
 Wacheza wa Prison wakimpongeza shujaa kwa mchezo huo kw akuisawazishia Prison na kutoka kwa kufungana bao 1  , 1
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment