Saturday, February 13, 2016

MIJI 10 ILIYOJENGA NYUMBA JUU YA MAWE

Pichaz za miji 10 yakuvutia iliyojengwa juu ya mawe na miinuko duniani, safari hii Afrika namba 1

 kwa nchi za wenzetu hupendelea kufanya, hii ni miji iliyojengwa kwa ustadi mkubwa sehemu mbalimbali duniani. Imenivutia mtu wangu nikaona nikusogezee ustadi wa hii miji iliyojengwa kwenye miinuko ya mawe, kwa harakaharaka kama pangekuwa hapajajengwa ilikuwa ni ngumu kwa mtu kukubali kuchukua kiwanja hata kama angepewa bure. Hizi ni pichaz za miji 10 iliyojengwa kwenye miinuko ya mawe. Hii ni list kutoka worldtoptop.com
10- Azenhas do Mar, Ureno
AzenhasdoMar1-paulowjorge
9- Cinque Terre, Italia
CinqueTerre6
8- Tropea, Italia
Tropea2
7- Cuenca, Hispania
cuenca2
cuenca_cliffs_thebluebrick
6- Positano, Italia
Positano1-twojewlochy
5- Rocamadour, Ufaransa 
Rocamadour1
rocamadour_cliif_town
4- Polignano a Mare, Italia
polignano_a_mare_tarantino_vincenzo
3- Ronda, Hispania
Ronda3
Ronda2
2- Kijiji cha Haid Al-Jazil- Wadi Dawan, Yemen
WadiDawan1
1- Constantine, Algeria
Constantine1-mariuszkluzniak
Constantine2-mariuszkluzniak
constantine10
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment