Sunday, February 14, 2016

COASTAL UNION DAKIKA 90 ZIJAZO ITAJITUPA MKWAKWANI KUMENYANA NA AZAM

 Kikosi cha Coastal Union cha Tanga kikifanya mazoezi uwanja wa Shule ya Sekondari ya Popatlal kujiandaa na Azam ambato dakika 90 zijazo itamenyana na nayo uwanja wa Mkwakwani Tanga.
Wachambuzi wa mambo ya mpira wanaipa nafasi Azam kunyakua point tatu ila baadhi ya wachambuzi wanaipa nafasi Coastal Union endapo itacheza mpira wake kama aliouonyesha na Yanga majuna mawili yaliopita.



No comments:

Post a Comment