Monday, February 15, 2016

SILAHA WALIZOKUWA WAKITUMIA MAJAMBAZI DUKA BARABARA 6 TANGA



Waandishi wa habari Tanga wakichukua picha za vitu vilivyokamatwa na polisi wakati wa msako wa kuwakamata majambazi waliokuwa wamejificha katika nyumba  mtaa wa barabara ya sita Ngamiani Tanga  baada ya kufanya uporaji katika duka la mfanyabiashara Zuheri Taibal na kuiba shilingi 200,000  jana.



  Kamanda wa polisi Mkoani Tanga, Mihayo Msikhela, akiwaonyesha waandishi wa habari bastola iliyotumika kufanyia ujambazi katika duka la mfanyabiashara Zuheri Taibal barabara 6 Ngamiani Tanga na kuiba shilingi 200,00 jana.

 Kamanda wa polisi Mkoani Tanga, Mihayo Msikhela, akiwaonyesha waandishi wa habari sime lililotumika kufanyia tukio la ujambazi katika duka la mfanyabiashara Zuhera Taibal barabara ya 6 Ngamiani Tanga  na kufanikiwa kuoba shilingi 200,000 jana.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment