Wednesday, May 25, 2016

CHEMBA LAWA KERO KWA WAKAZI WA MTAA WA USAGARA



Chemba iliyoko mtaa wa Sekondari Usagara Tanga likiwa linatiririsha maji machafu barabarani na kuwa kero kwa watumiaji wa miguu na kutoa harufu kali na kuwa kero kwa wakazi wa eneo hilo.
Jiji la Tanga linakabiliwa na changamoto ya uchafu katikati ya jiji hilo ili  kuendana na hadhi ya jiji.
Hata hivyo kuna hatua kubwa imefanywa na halmashauri ya jiji na baadhi ya maeneo yake kuwa katika mazingira mazuri ya usafi. 
 






No comments:

Post a Comment