Saturday, May 28, 2016

MACHUNGWA YAOZA HAYANA SOKO , TANGA



,Wachuuzi wa machungwa soko la Mgandini Tanga, Imma Modo (kulia) na Idd Akida (kushoto) wakipanga bidhaa zao kusubiri wateja. Wachuuzi hao wamekuwa wakilalamika kukosa soko la uhakika na badala yake wamekuwa wakiuza kwa wateja mmoja mmoja.
Serikali imekuwa ikiwaeleza wakulima wa matunda kuwa iko mbioni kujenga kiwanda cha kusindika matunda kati ya Muheza na Handeni Tanga jambo ambalo limekuwa likiwapa hamasa wakulima katika Wilaya hizo ambazo hulima machungwa kwa wingi na kuvutia wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi.


  Wachuuzi wa machungwa soko la Mgandini Tanga, Idd Akida(kulia) na Ima Modo (kushoto) wakipanga bidhaa zao kusubiri wateja, Wachuu hao wamekuwa wakilalamika kukosa la uhakika na badala yake wamekuwa wakiuza kwa wateja mmoja mmoja


Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment