Sunday, May 22, 2016

TUNAVUA KAMBARE



Wakazi wa Mtaa wa Kwakaheza kata ya Makorora Tanga, wakivua kambare katika mferji wa maji wa Mabovu waliokuwa wakitokea katika bwawa la Gofu lililofurika maji ya mvua  kufuatia mvua kubwa iliyonyesha hivu karibuni.
Kambare hao pamoja na samaki aina ya Kamba (Prons) wamekuwa wakionekana na watoto luvutikwa kuwavua kwa lengo la kwenda kuwafuga.
Hata hivyo wataalamu wa Afya wamedai kuwa aina hiyo ya samaki kuvuliwa katika mifereji ukiwemo huo wa Mabovu kunaweza kuwa hatari kwa afya na usalama wa watoto hao na kwa mlaji.






Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment