Tuesday, May 17, 2016

MAANDALIZI YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI

 Wafanyabiashara wa kuuza kanzu na kofia nje ya Msikiti wa Zahrau Tanga, wakipanga bidhaa zao kusubiri wateja. Jiji la Tanga liko katika hekaheka na maandalizi ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani vijana na wazee wamekuwa wakijinunulia kazu, kofia, miswala ya kusalia, pamoja Misahafu na Juu kwa ajili ya kujiandaa na Mwezi huo ambao ndio Mtukufu na Masheikh wamekuwa wakisema katika Membari kuwa  ndio mwezi wa machumo na kufuta dhambi kwa wenye kutubia.





No comments:

Post a Comment