Tuesday, May 24, 2016

ELIMU YA UTUMIAJI BARABARA YA JUU DAR ES SAALM BADO INAHITAJIKA

 Watumiaji wa barabara ya Morogoro Ubungo Dar es Salaam wakikatisha barabara licha ya jitihada ya Serikali kujenga Daraja la wapita kwa miguu kuepusha ajali zitokeazo mara kwa mara wapita kwa miguu. Barabara hiyo na m,aeneo mengine Serikali imejenga njia maalumu ya magari ya mwendo kasi hivyo kujenga barabara za juu kwa wapita kwa miguu.
Hata hivyo elimu ya utumiaji wa miguu imekuwa ngumu na watu wengi kushindwa kuzitumia.
Mwandishi wa tangakumekuchablog aliweza kufanya ziara ya kujuonea njia za barabara ya magari ya mwendo kasi na wapita kwa miguu mapema leo.




No comments:

Post a Comment