Wednesday, May 25, 2016

HOSPITALI YA BOMBO TANGA YAPATA COMPUTER SYSTEM



Afisa Ubalozi wa Ujerumani nchini, Jan-Dieter Gosink (kulia) na Mkurugenzi wa Tiba Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii na Watoto na Wazee, Dr, Magreth Mhando (kushoto) wakizindua Mfumo wa Ukusanyaji Taarifa kwa kutumia Computer hospitali ya  Rufaa ya Bombo Tanga  kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Ujerumani (GIZ).
Shirika la Maendeleo la watu Ujerumani limekuwa imesaidia kufunga mifumo ya ukusanyaji Taarifa kwa hospitali ya Muheza na Tanga na inatarajia pia kufunga katika hospitali ya Korogwe na Pangani kwa awamu na kudaiwa pia kufunga katika hospitali nyengine za Mkoa wa Tanga


  Afisa Ubalozi wa Ujerumani nchini, Jan-Dieter Gosink (kulia) na Mkurugenzi wa Tiba Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Dr, Magreth Mhando(kushoto) wakizindua chumba cha Chumba cha Ukusanyaji Taarifa kwa kutumia Computer hospitali ya Rufaa ya Bombo Tanga kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la watu wa Ujerumani (GIZ).

Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment