Wednesday, May 25, 2016

MISA TANZANIA YAWAJENGEA UWEZO WA MATUMIZI YA INTERNET WAANDISHI WA TANGA



Waandishi wa habari wa Tanga wakiwa katika mafunzo ya matumizi ya Internet yaliyoendeshwa na Taasisi ya Habari Kusini mwa Afrika (Misa Tanzania) juu utumaji kwa njia sahihi na salama.
Mafunzo hayo ya siku nne yanayofanyika ukumbi wa Tanga Press Club ambayo itawajengea uwezo wa kutafuta habari kwa kutumia Internet utawawezesha waandishi hao kufanya kazi kwa ufanisi na uhakika.
Mratibu wa mafunzo hayo, Andrew Marawati, alisema mafunzo hayo ya siku nne yatawawezesha waandishi hao kupata habari kwa uhakika tofauti na baadhi ya wengine ambao huingia katika mitandao na kupata habati potofu.
Alisema baadhi ya waandishi walio wengi hawana uelewa mpana wa matumizi ya Internet hivyo mafunzo hayo yatawasaidia kwa uwezo mpana.






No comments:

Post a Comment