Thursday, May 26, 2016

KIFAA CHA KWANZA CHATUA EMIRATER



Safari hii Arsenal Wenger anaonyesha amepania kufanya kweli baada ya kuchukua kifaa cha kwanza kutua Emirates.

Wenger amemnasa mchezaji Granit Xhaka aria wa Switzerland ambaye anajiunga na Arsenal kwa kitita cha pauni million 35.

Xhaka kutoka Borussia Monchengladbach ya Ujerumani anajiunga na Arsenal na atakuwa akidaka mshahara wa pauni 110,000 kwa wiki.


No comments:

Post a Comment