Saa ya Haile Selassie yarejeshewa ‘mmiliki’

Maafisa wa mahakama
nchini Uswizi wameamua kukabidhi saa iliyotumiwa na Mfalme Haile
Selassie kwa mtu aliyepatikana na saa hiyo, shirika la habari la
Bloomberg limeripoti.
Bloomberg wanasema saa hiyo ya muundo wa Patek Phillipe iliyopambwa kwa dhahabu inaweza kuuzwa £1m (£690,000) kwenye mnada.
Kampuni ya kupiga mnada ya Christie imekataa kufichua jina la mtu anayemiliki saa hiyo na ambaye anapanga kuiuza mnadani.
Kampuni ya kupiga mnada ya Christie imekataa kufichua jina la mtu anayemiliki saa hiyo na ambaye anapanga kuiuza mnadani.
No comments:
Post a Comment