Saturday, May 28, 2016

MISA - TANZANIA YAWAWEZESHA WAANDISHI WA HABARI WA TANGA MATUMIZI YA INTERENET



Mwalimu, Marko Gideon kutoka  Taasisi ya vyombo vya habari kusini mwa Bara la Afrika Tawi la Tanzania (Misa-Tanzania) kwa ushirikiano wa Mfuko wa vyombo vya habari, Mawasiliano na Maendeleo wa Finland akiwafundisha waandishi wa habari wa Tanga juu ya matumizi ya Internet pamoja na mambo mbalimbali ya kuficha kumbukumbu na kuepuka Udukuzi wa Mitandao mafunzo yaliyofanyika kwa siku nne ukumbi wa Waandishi wa Habari wa Tanga Press Club (TPC)
Picha na Salim Mohammed

 Mkurugezi wa Radio Nuoor ya Tanga, Ali Khamis Zumo (alivaa Balaghashia na miwani) akiangalia moja na matumizi ya Internet ambayo baadhi ya waandishi wamekuwa hawayajui mafunzo yaliyoratibiwa na Taasisi ya Mfuko wa Vyombo vya Hbari Kusini mwa Bara la Afrika Tawi la Tanzania (MISA TANZANIA).


 DJ Maarufu Tanga, Rogher akiwa mmoja wa waandishi wa habari waliopata mafunzo ya matumizi ya Internet kwa waandishi wa Mkoa wa Tanga yaliyofanyika kwa siku nne ukumbi wa jengo la waandishi wa habari wa Tanga Press Club na kuandaliwa na MISA TANZANIA.


 Waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari Tanga wakiwa katika mafunzo ya matumizi ya Internet yaliyofanyika kwa siku nne ukumbi wa Tanga Press Club (TPC)


 Mwandishi na mtayarishaji vipindi  Radio Maarifa,ya Tanga, Bikungu akifuatilia kwa makini maelekezo ya mwalimu, Marko Gideon kutoka Taasisi ya Mfuko wa Vyombo vya Habari  Kusini mwa Bara la Afrika Tawi la Tanzania.


 Mkurigenzi wa blog ya  Tangakumekucha, Salim Mohammed (kushoto) waliochuchumaa ni mmoja wa waandishi waliopata nafasi ya kushiriki mafunzo ya Interenet yaliyofanyika kwa siku nne na kuandaliwa na Taasisi ya Mfuko wa Vyombo vya Habari Kusini mwa Bara la Afrika Tawi la Tanzania (MISA- TANZANIA) na kufanyika ukumbi wa Tanga Press Club




Mkurugenzi wa Radio Nuoor, Ali Khamisi Zumo akiwa katika moja ya Training ya matumizi ya Internet na kuwasiliana na mmoja wa rafiki zake aliekuwa Stockom - Sweeden kwa kutumia Program ya Vaiber.

No comments:

Post a Comment