Wednesday, May 18, 2016

KIPENGA LIGI NGAZI YA WILAYA YA TANGA KUPULIZWA MAY 20

 Viongozi wa timu mbalimbali Wialaya ya Tanga wakiwa katika makabidhiano ya vifaa vya michezo Uwanja wa Mkwakwani leo vilivyotolewa na Mkwabi Suparmarket kwa timu 38 zinazoshiriki ligi hiyo ambayokipenga chake kitapulizwa May 20


Meneja wa kampuni ya Mkwabi Supermarket ya Tanga, Issa Kassanga, akimkabidhi vifaa vya michezo mbalimbali zikiwemo jezi, mipira na gloves za magolkipa , Afisa Maendeleo ya Jamii, Pitter Semfuko(kushoto) na katikati ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mpira wa miguu Wilaya ya Tanga, Sued Mkwabi ikiwa ni maandalizi ya ligi ngazi ya Wilaya inayoshirikisha timu 38.









 Vifaa vilivyotolewa kwa timu zinazoshiriki ligi ngazi ya Wilaya Tanga vikiwa vimepangwa kwa kukabidhiwa viongozi na wachezi wa timu zao.


No comments:

Post a Comment