Sunday, May 22, 2016

PALE TAA ZA KUONGOZEA MAGARI ZINAPOZIMIKA, UDART NAYO KIMINYANO



Mataa ya kuongozea magari barabara ya Uhuru na Msimbazi jijini Dar es Salaam, yakiwa hayafanyi kazi na kusababisha msongamano wa magari ya kawaida ya mwendo kasi (Udart)  na kusababisha muingiliano wa vyombo vya moto zikiwemo pikipiki, daladala na magari ya kawaida.
Magari hayo ya mwendo kasi baadhi ya wakati yamekuwa katika wakati mgumu pale mataa ya kuongozea magari kushindwa kufanya kazi hivyo kukumbana na kiminyano cha madereva wa daladala .







No comments:

Post a Comment