Monday, May 23, 2016

WATU ZAIDI YA 10 WAHOFIWA KUFA ZIWA NYASA

Watu zaidi ya 10 wahofiwa kufariki ziwa nyasa


Taarifa ya awali iliyoripotiwa na kituo cha television cha ITV muda mfupi uliopita imeeleza kuwa watu zaidi ya 10 wanahofiwa kufariki dunia katika ziwa nyasa baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kutoonekana kwa siku mbili huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma.

No comments:

Post a Comment