Wednesday, May 25, 2016

NDEGE INAYOTUMIA NGUVU YA JUA YAFANYA SAFARI YA MWISHO

Ndege inayotumia nguvu za jua yafanya safari ya mwisho

Ndege inayotumia nguvu za jua imeondoka kutoka magharibi mwa Marekani inapoanza awamu yake ya mwisho ya safari katika jaribio la kuizunguka dunia.
Safari hiyo ya 12 inayofanywa na ndege hiyo inayojulikana kama Solar Impulse Two, ni kutoka jimbo la Oklahoma kwenda mji wa Dayton jimbo la Ohio.
Safari hiyo ilichukua masaa 17

No comments:

Post a Comment