Blackwell sasa asema Eubank Jr hana 'utu'

Bondia aliyejiuzulu
Nick Blackwell amesema kuwa Chris Eubank jr na babaake hawana utu
kulingana na vile walivyofuatilia jeraha lake baada ya pigano.Eubank alifanya mkutano na wanahabari baada ya pigano hilo la uzani wa kati ,wakati Blackwell alipokuwa hospitalini.
''Familia yangu na marafiki waliwataka kutozungumza lakini walikataa'',Blackwell aliliambia gazeti la the Sun.
''Nilikuwa sina fahamu na waliendelea na kuitisha mkutano na vyombo vya habari''.
Blackwell aliamka wiki moja baadaye bila ya kuhitaji upasuaji.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment