Tuesday, May 24, 2016

DONALD TRUMP KUUZA MJENGO WAKE KUSAIDIA KAMPENI

Donald Trump anaweza kuuza moja ya hii mijengo yake ili kusaidia kampeni zake

Mgombea Urais nchini Marekani Donald Trump amesema anaweza ‘kuuza jengo’ ili kusaidia mfuko wa kampeni yake ambayo inaweza kugharimu dola billioni 1. 
Mwanzoni hakuwa na wazo la kufadhili msimu ujao wa kampeni kwa kuuza mjengo au mali isiyoamishika lakini mabadiliko hayo yamekuja baada ya ripoti ya baadhi wafadhili wakubwa GOP huenda wakajitoa kwenye mbio hizo.
Trump aliiambia Fox kwamba…….>>> ‘Ninaweza kufadhili mabilioni ya dola kwa kuuza jengo, nina uchaguzi wa kufanya hivyo’
.
.
.
.
.
.
.
Hoteli ya Kimataifa ya Trump  Chicago
.
.
.
.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablob

No comments:

Post a Comment