Saturday, April 29, 2017

BIASHARA, MATIKITI MAJI SOKO LA MGANDINI TANGA


Mfanyabiashara wa matikiti maji soko la Mgandini Tanga wakisubiri wateja kuwauzia matunda yao. Tikiti moja lilikuwa likiuzwa 3,000 hadi 5,000 kulingana na ukubwa wake.
Kipindi hiki cha msimu wa matunda wafanyabiashara wengi wamekuwa wakitafuta masoko na kulalamika kukosa soko la uhakika hivyo kuuza kwa wateja mmoja mmoja jambo ambalo wamedai kuogopa kuwaozea mikononi.




No comments:

Post a Comment